Nitag na mimiUkipata jibu naomba uni tag
RPC Michael Kamuhanda, yule dog alikuwa na roho mbaya sana! Maccm ni mashetani makubwa sana!Wana JF,
Naomba mniruhusu niweke picha zenye sura za walioshiriki kitendo hiki cha kihuni ambacho ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kama kamera yangu ilivyokinasa.
Nina picha ambazo zimechukuliwa zinazoonyesha walioshiriki na jinsi walivyoshiriki. Hata RPC alikuwepo eneo la tukio.
Mods, naomba msiunganishe thread yangu plz.
Picha nyingine nimezituma kwa watetezi wa haki za binadamu na video nimeziweka YouTube (sitatoa link kwa sasa).
Wanahabari, ni wakati wa kuonyesha umoja wetu dhidi ya udhalimu huu.
-----
View attachment 63608
Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.
View attachment 63609
Pembeni ni shangingi la RPC, askari huyu naye kashuhudia kitendo hiki cha kikatili. Wanahabari tushirikiane kupiga kelele. Hapa walikuwa wamemaliza unyama wao wakimwondoa mwenzao aliyeumia eneo la tukio
Maiti ilisambaratishwa kabisa utumbo, si uungwana kuweka picha kama hizo hapa.
View attachment 63611
Kama ni kesi, askari huyu anaweza kuhojiwa. Nimekata picha kusitiri mwili wa marehemu.
Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu.
View attachment 63619
😭😭😭😭Wana JF,

si vema kuendelea kuyakumbushia haya mambo .Wana JF,

Emmanuel Nchimbi huyu huyu ambaye anasema eti "KAZI NA UTU" wanasaonga mbele..Nani alikuwa waziri wa mambo ya ndani?
kama sio Nahodha basi NchimbiNani alikuwa waziri wa mambo ya ndani?
Naye aliuliwa? Nitashangaa sana kama bado hawa askari wako hai.Wana JF,
Naomba mniruhusu niweke picha zenye sura za walioshiriki kitendo hiki cha kihuni ambacho ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kama kamera yangu ilivyokinasa.
Nina picha ambazo zimechukuliwa zinazoonyesha walioshiriki na jinsi walivyoshiriki. Hata RPC alikuwepo eneo la tukio.
Matukio ya ukatili wa polisi na utekaji unaofanywa na watu wasiyojulikana soma hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Mods, naomba msiunganishe thread yangu plz.
Picha nyingine nimezituma kwa watetezi wa haki za binadamu na video nimeziweka YouTube (sitatoa link kwa sasa).
Wanahabari, ni wakati wa kuonyesha umoja wetu dhidi ya udhalimu huu.
-----
View attachment 63608
Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.
View attachment 63609
Pembeni ni shangingi la RPC, askari huyu naye kashuhudia kitendo hiki cha kikatili. Wanahabari tushirikiane kupiga kelele. Hapa walikuwa wamemaliza unyama wao wakimwondoa mwenzao aliyeumia eneo la tukio
Maiti ilisambaratishwa kabisa utumbo, si uungwana kuweka picha kama hizo hapa.
View attachment 63611
Kama ni kesi, askari huyu anaweza kuhojiwa. Nimekata picha kusitiri mwili wa marehemu.
Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu.
View attachment 63619
DaĥWana JF,

Ogopa kuchallenge askari mwenye uniform wakianzia 2 na kuendelea cc hajji manara na prison officerNaye aliuliwa? Nitashangaa sana kama bado hawa askari wako hai.