Picha: Haya ndio maua ya yanayozungumzwa mitandaoni!,apewe maua yake!?? Kama ni haya, acha tudharaulike

Picha: Haya ndio maua ya yanayozungumzwa mitandaoni!,apewe maua yake!?? Kama ni haya, acha tudharaulike

roadmaster

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2023
Posts
1,609
Reaction score
2,751
Picha yajieleza!! Hakina hayo maua ukiambiwa gharama zake kama una akili timamu utaweza kulia
20230825_154015.jpg
 
Hao kwa kutengeneza mianya ya ulaji hawajambo, utakuta walikaa kikao cha kuja na ubunifu huo wakaweka mkakati na budget.

Wata-estimate cost na kuweka top up kibao kila kinachofanywa na serikali ukiona gharama ni 2B we jua kbs real cost inacheza around 900M-1.2B, Kuna namna wanaestimate gharama plus contingency reserve kibao
 
Back
Top Bottom