PICHA:Heaven on desert na boss wake

PICHA:Heaven on desert na boss wake

Kama huna cha maana kupost ni bora kuwa kimya venginevyo ni kujidhalilisha kwa vitu vya kitoto kama hivi!
Ni mtazamo wangu tu!
 
Na hiyo suruali vipi mwenzetu?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Teh teh teh.........duh! Wewe kwani umeajiriwa kwenye JF tu au na mitandao mingine ya kijamii?
 
Hiyo sura inatia mashaka kidogo kama ya yule binamu yake maana nyuma ya pazia kuna mengi.halafu kumbe weye ndio muendesha blog ya wasafi na thisisdiamond? Mwanamuziki mkubwa anamiliki blog kazi kweli kweli.
 
siombei mabaya, lakini hivi boss wako akifulia na wewe ndio kwishnei eeh?
 
umeshakuwa celebrty kijana hongera ila ukishusha hiyo suruali zaid na kuonesha tiqo kama boc wako alivyofanya jukwaani umarufu wako utaongezeka maradufu blv me
 
kwel kuna baadhi ya watu mtakufa kwa vihoro vya chuki na wivu wa kijinga..una uhakika na unayoyaongea..y hampendag mtu afanikiwe..mtu akiwa kwwnye position flan nzuri pengine kukuzid wewe..mnaanza kuongea utumbo zid.
kaz kwenu..si twakusanya hela tu.
 
pozi zako zinatia shaka..
 
kwel kuna baadhi ya watu mtakufa kwa vihoro vya chuki na wivu wa kijinga..una uhakika na unayoyaongea..y hampendag mtu afanikiwe..mtu akiwa kwwnye position flan nzuri pengine kukuzid wewe..mnaanza kuongea utumbo zid.
kaz kwenu..si twakusanya hela tu.

we jamaa hujielewi...unazijua position nzuri wewe? Komaa ujiajiri siyo kutwa kusifia upumbavu!!
 
Hivi 'Heaven on Desert' ni ME au KE? Mbona kuna thread anachangia kama SHE nyingine kama HE? Au ni mixed gender?
 
Back
Top Bottom