heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Nilidhani niko peke yangu, haya ukielewa uninong'onezepoHata sijaelewa. Whats up?
kwel kuna baadhi ya watu mtakufa kwa vihoro vya chuki na wivu wa kijinga..una uhakika na unayoyaongea..y hampendag mtu afanikiwe..mtu akiwa kwwnye position flan nzuri pengine kukuzid wewe..mnaanza kuongea utumbo zid.
kaz kwenu..si twakusanya hela tu.

we jamaa hujielewi...unazijua position nzuri wewe? Komaa ujiajiri siyo kutwa kusifia upumbavu!!