tuwaache walale...
mmmmh huyu si sheddy clever producer wa number one hit song klutoka burn record
mmmmh huyu si sheddy clever producer wa number one hit song klutoka burn record
kwel kuna baadhi ya watu mtakufa kwa vihoro vya chuki na wivu wa kijinga..una uhakika na unayoyaongea..y hampendag mtu afanikiwe..mtu akiwa kwwnye position flan nzuri pengine kukuzid wewe..mnaanza kuongea utumbo zid.
kaz kwenu..si twakusanya hela tu.
Kuajiliwa = kuajiriwa
Msing = msingi
Masirahi = maslahi
Nijiajil= nijiajiri
Nalizika= naridhika
hivi kuna ubaya gani mkikusanya hela zenu kimya kimya mkala kimya kimya kwa raha zenu? sijui nikuite mswahili sijui IQ yako ndogo hapo Heaven on earth atanijibia....back to topic kuna watanzania wangapi wasiojulikana wana mafanikio na heshima kubwa kuliko huyo boss wako?? acheni uswahili wa kujionesha kwa watu ndio nyie mkipika nyama mnataka na jiranio ajue haters wanawaharibia nini nyie?? kma hela mnakusanya kinakuuma nini mpaka useme watu hawapendi mafanikio yenu??? je mafanikio yenu ndo yanafanya watu wasilale au wasiamke?? sichangiagi ujinga wa humu ila uandishi wako umenishawishi acha uswahili kijana tulia fanya yako.
Mbna watizama upande mmoja..hujakiona wanachokiandika?wako sahihi?
mfano huyo big boss wako alivyonunua huo mkufu kwa faida yake ungekaa kimya ingeharibika nn? huo mkufu una faida gani kwa watu? huu n ushaur wa bure ambao wengine huulipia jaribu kutenga private issues na public mfano ulipotoa habari diamond yupo malaysia ulikuwa sahihi coz mashabiki wangependa kujua alipo fan wao.hlo n jema lakin masuala yote binafsi kama kula kulala na kuvaa yawe yenu tu just imagine watz waambiwe jk kalala hotel flan na kanunua pete ya bil 1 watu watamwonaje? usifikiri hayo mashushu ni kwako tu hata cellebrities wa mbele huambiwa haya haya mnayoambiwa nyinyi ok heshimu watu coz ndo wanaowafanya muwe juu.
NI HAYO TUU UKIPENDA YAFANYIE KAZI KWA MAFANIKIO ZAIDI USIPOPENDA BASI
NASIKITIKA SITAKUWA NA MUDA TENA WA KUANDIKA HAPA
NAWATAKIA MAFANIKIO MEMA ZAIDI KTK KAZI ZENU NI NIA YETU KILA MTANZANIA AWE NA KIPATO KIZURI UMASKINI NA UTEGEMEZI UPUNGUE.
Thanx ndugu kwa ushauri wako..
umetumia lugha ya kiungwana sana..
ntayafanyia kaz yote