Picha;heaven on desert on take one

Picha;heaven on desert on take one

Jamii forums in jukwaa la great thinker and ur not among of them hebu tuondolee ushudu wako
 
Jamii forums in jukwaa la great thinker and ur not among of them hebu tuondolee ushudu wako

acha kukatisha watu tamaa watie moyo penye kosa shauri nini kifanyike vinginevyo ni wivu wa kichawi
 
Picha imekaa tofauti kabisaaa.....mida mingine unaboa. Umeweka black & white ili watu wasisanukie kwamba ni photo shop? Huu ni utoto sasa.
 
Ambavyo haviwez kufanyika maishani mwako
usijumuishe na wengine kuwa haviwezekani..
kama hujaelewa,Kale kwanza urudi

Kwenda zako, umenipikia wewe?
Hapa unaambiwa ukweli.
Picha hiyo haina uhalisia.
Domo kama la boss wako anaekuweka mjini.
 
mimi ni mtaalamu wa photoshop na nina uhakika 100% hii ni photoshop,ungeweka video ya youtube,dhibitisha kwa ili tusikie walikuwa wanakuoji nini,mods sijui bado awajaamka watoe majanga aya
 
Kwenda zako, umenipikia wewe?
Hapa unaambiwa ukweli.
Picha hiyo haina uhalisia.
Domo kama la boss wako anaekuweka mjini.

boss/mumewe
dah!yan kuisikilizia pumzi ya wakiume mwenzio huyu jamaa ana moyo!
Unafukunyuliwa wewe si bure
 
Kwenda zako, umenipikia wewe?
Hapa unaambiwa ukweli.
Picha hiyo haina uhalisia.
Domo kama la boss wako anaekuweka mjini.

boss/mumewe
dah!yan kuisikilizia pumzi ya wakiume mwenzio huyu jamaa ana moyo!
Anafukunyuliwa huyu PUNGAwajangwani si bure
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu, jaribu kuulizia kizazi chako kimetokana na nini. Umefanana na frog aka chura. Yawezekena jamii yako apo zamani za kale ilikuwa vyura.
 
photoshop skills failed.

Hiyo background nyeusi imewekwa hizo ni rangi za photoshop,ukiangalia kulia kabisa kwa chini pembezoni mwa picha kuna sehemu umesahau ku-clear,anayekuhoji kakaa kwenye sofa ile ww umejipachika kudhihirisha hilo rangi ya nyuma yako ukaigeuza nyeupe maana umevaa shati nyeupe na background nyeusi ingeonyesha udhaifu wa editing,mguu wa kushoto suruali imefutwa futwa kama imeliwa na panya vile huo ni udhaifu mwingine.
Kama ni kweli hebu weka picha ya rangi.
 
We zeze sasa humu celebrities forum umeingiaje? We choksi kweli umejiroga ku reveal identity yako na fake photoshop.
 
Back
Top Bottom