Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Mheshimiwa ulikuwa unawahi wapi? Mbona kichwa cha habari na maelezo yako ya ndani vinapishana! Kichwa cha habari kinasema arejea Dar kutoka Zanzibar!Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiwa ameambatana na Mwenza wake Mama Sharifa Omar Khalfan wamerejea Zanzibar wakitokea Jijini Dar es Salaam kwa shughuli za kikazi tarehe 30 Juni, 2024.
View attachment 3030172
2030 atatufaa sana kwenye Muungano huyu.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiwa ameambatana na Mwenza wake Mama Sharifa Omar Khalfan wamerejea Zanzibar wakitokea Jijini Dar es Salaam kwa shughuli za kikazi tarehe 30 Juni, 2024.
View attachment 3030172