Picha hii ifananishwe na nini tz?

Picha hii ifananishwe na nini tz?

eucalyptos

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2010
Posts
391
Reaction score
139
donkey.jpg
 
Police Tanzania! maisha mabovu, lawama lukuki, kama punda.
 
Makamba Chama kimemshinda! Kabakia anaelea hewani
 
Mifumuko ya bei na gharama zote za maisha kwa Mtanzania, ambapo mzigo unakuwa mkubwa huku ukiongezewa na ku fail kwa systems zote za serikali na panakuwa hakuna pakukimbilia wala msaada na mwanamchi anajikuta anakata tamaa na anateseka tu. We ongezea zigo lingine tu na kama mnataka hata dunia yote mwaweza kuiingiza ktk mkokoteni huu mie sijali sijui mnaita DOWANS sijui haya twende!! nilisha kata tamaa! lol!
 
Hutakosea ukiifananisha na Mikataba mibovu inavyo tuelemea wananchi badala ya walengwa halisi wanaoingia mikataba hiyo. Ngoma wapige wao kucheza tucheze kinasisi huku wao wanakula kuku kwa mlija huku wakitu ng'ong'aaaaaaaaaaaaaaa. Tunalo wazeeeeeeeeeeee kazi kwetu.
 
Huyo punda ni sawa na MTz. wa hali ya chini maisha yamemuelemea na hawezi kujitetea, tofauti na wale wanaoishi kwenye makaburi ya Azimio la Arusha.
 
Back
Top Bottom