Picha hii ina maana gani ?

cnt ccccccccccccccccccccccccccccccccccccc
 
mi naona ka haina maana yooyote....labda huyo jamaa angeshikilia upande wa kushoto may be ningesema women ndo cause ya heart breaking zetu....sasa sijui upanda wa kulia wa kifua kuna nini!
 
moyo ungekuwa na mfupa,mabaki ungeyaona!
 
Binti kanyofoa moyo wa msela halafu amesepa nao, i think am right!!:redfaces:
 
Injured indeed, but does not look at his injuries but rather concerned about the one who injured him....
 
Huyo jamaa ni katuni so haina maana and since moyo haukai upande wa kulia ndio kabisaaa nadhini ungeihariri hiyo picha kabla ya kutuletea
 
Jamaa kapigwa kibuti kitakatifu, kufa hafi lakini cha moto anakiona, yaani inaonekana alimdondoshea limoyo lake kabisa
 
Damu iliomwagika imefanya kivuli, ni kivuli cha nn na inaaashiria nn ?
 
Amekutana na jini, akalikemea.
 
kwa kweli kuitafsiri hii picha unaweza kujikuta umetunga novel nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…