Ndibalema ni kweli vita inamatokeo hayo lakini hii vita ni kwa faida ya nani? Ilikuwa ni lazima kwa huyu kijana kupoteza viungo vyake kwa vita ambayo haina maana kwao.
kuna kile kitabu kilikuwa kinatumia o-level cha fasihi kuhusu vita vya kagera.................jamaa kardi vitani uso hautazamiki mpenzi wake wa zamani akamkimbia