Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inaonyesha ni rahisi kupanda kazi ukiwa CCM ambako kuna demokrasia lakini chadema wakubwa wamejimilikisha chama miaka inaenda wao tu ndo viongoziHii picha ina takribani miaka 10 hivi na ni picha ya kinabii. Inaongea kimya kimya ni wapi viongozi wakuu wa CCM; Samia na Nchimbi watakapokuwa wakilinganishwa na viongozi wakuu wa CHADEMA Mbowe na Lissu.
View attachment 3108495.