figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Matukio katika picha wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chama kinachoendelea muda huu Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam.
Kikao hicho kinaongozwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu. Kikao hiki kinafanyikia Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar Es Salaam
Hatimaye Ezekiah Wenje katia timu. Mambo ya kususa susa yameisha.