figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Filters zimekuwa nyingi sana.Matukio katika picha wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chama kinachoendelea muda huu Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam.
Kikao hicho kinaongozwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu. Kikao hiki kinafanyikia Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar Es Salaam
Hatimaye Ezekiah Wenje katia timu. Mambo ya kususa susa yameisha.
View attachment 3266909View attachment 3266910View attachment 3266911View attachment 3266912View attachment 3266913View attachment 3266914View attachment 3266915View attachment 3266916View attachment 3266917View attachment 3266918View attachment 3266919View attachment 3266920View attachment 3266921View attachment 3266922View attachment 3266923View attachment 3266924View attachment 3266925View attachment 3266926View attachment 3266929View attachment 3266930View attachment 3266931View attachment 3266935View attachment 3266936View attachment 3266937View attachment 3266938
AI!Pictures very clear, camera gani hiyo
Unatakaje 🌈?Kikao cha kulipana posho tu za ruzuku, hakuna cha maana wanachojadili