OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Mar 12, 2025 #61 TISS wawatumie hawa watu kupata katiba mpya
G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 11,795 Reaction score 36,704 Mar 12, 2025 #62 Laki Si Pesa said: Kikao cha kulipana posho tu za ruzuku, hakuna cha maana wanachojadili Click to expand... Ajenda yako ya Joyce Mukya ilikufa rasmi
Laki Si Pesa said: Kikao cha kulipana posho tu za ruzuku, hakuna cha maana wanachojadili Click to expand... Ajenda yako ya Joyce Mukya ilikufa rasmi
T tripof JF-Expert Member Joined Apr 2, 2024 Posts 829 Reaction score 1,120 Mar 12, 2025 #63 Gagnija said: Good question. Tunaambiwa kwa mujiba wa katiba yeye ni mjuumbe wa kudumu. Click to expand... Mbowe ni mjumbe wa heshima wa kamati kuu "ceremonial" anaweza asihudhurie haina madhara
Gagnija said: Good question. Tunaambiwa kwa mujiba wa katiba yeye ni mjuumbe wa kudumu. Click to expand... Mbowe ni mjumbe wa heshima wa kamati kuu "ceremonial" anaweza asihudhurie haina madhara