PICHA HII-Watafaulu kweli

Msharika

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Posts
947
Reaction score
70
Tafadhali tazama hiyo picha kwa makini, sura zao na kadi iliyopo hapo chini tazama vizuri , kisha wanajiandaaa kufaulu. Yangu macho



 
Kama ni kweli Wasubirie Kutafunwa na FATAKI kwa zamu!

Lakini isije ikawa wametoka kwenye graduation ceremony wanaangalia zawadi zao, sababu najiuliza mpiga picha alikuwa wapi? na kwa nini hwakushtukia wakati jamaa anawapiga picha?

Kwangu haingii akilini kabisa!
 
Msiwakatishe tamaa wenzenu! Hapa wanapasha nyepesi nyepesi tayari kwa kuchukua point zote tatu!
 
Huyu aliyeangalia huku mbona kama waziri mkuu mtarajiwa vile, au macho yangu?
 
MABINTI HUWA WANANIFURAHISHA SAAAANA KWA USAFI.....! angalia vumbi ..lakini soksi safiiiiiiiiiiii....! I HOPE NA CHUPI PIA NI SAFI..!

HONGERENI KWA HILO..!
 
Viti maalum na ma-DC watarajiwa hao! Hivi hawana study rooms au library mpaka waende shambani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…