Picha hii ya Rizwan Kikwete, imemfundisha mambo mengi na kamwe hatoyasahau

Picha hii ya Rizwan Kikwete, imemfundisha mambo mengi na kamwe hatoyasahau

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu,

Naamini ndugu yetu Rizwan Kikwete akiona picha hii, inampa funzo kubwa sana ambalo kamwe kwenye maisha yake ya kisiasa toka akiishi na mzee wake pale Singida, Nachingwea, Msoga, Dodoma, Mikocheni, kamwe hawezi kusahau na ni afadhali ajifunze kupitia picha hiyo.

IMG_1287.jpg
 
Enzi hii picha inasambaa mitandaoni, DAB alikuwa ni shababi kweli kweli! Yaani alikuwa na nguvu kuliko PM.
 
Anayefunga kamba ni nani? na anayefungiwa kamba ni nani? Ufafanuzi tafadhali
 
Wakuu
Naamini ndugu yetu Rizwan Kikwete akiona picha hii, inampa funzo kubwa sana ambalo kamwe kwenye maisha yake ya kisiasa toka akiishi na mzee wake pale singida...
Mtaka cha uvunguni lazima ainame enzi za Makonda hizo
 
Wote walikuwa wabebwaji tu, mmoja mbeleko ilikatika, mmoja bado baba yake mzima
 
Back
Top Bottom