Mtaka cha uvunguni lazima ainame enzi za Makonda hizoWakuu
Naamini ndugu yetu Rizwan Kikwete akiona picha hii, inampa funzo kubwa sana ambalo kamwe kwenye maisha yake ya kisiasa toka akiishi na mzee wake pale singida...
Ridhiwani na BashiteAnayefunga kamba ni nani? na anayefungiwa kamba ni nani? Ufafanuzi tafadhali