PICHA: Hili jengo linalojengwa Kariakoo kwa PPP ni balaa ni zaidi ya Mlimani City unaambiwa Serikali itajizolea zaidi ya TZS 2.5bn kila mwaka

Mungu mbariki Rais Samia,
 
Kariakoo inajengwa ya nin Tena si wajenge nje mji ili utanuke
 
Kodi ya kila mwezi Kwa eneo kama Kariakoo.
 
That's not even a million dollars.

Hiyo hela ya madafu ndiyo inafanya zionekane nyingi. Ukiziweka kwenye dola hela ndogo sana kwa PPP project ya kariakoo.
Okota maneno Yako boss.. iyo ni sawa na Dora million Moja...is it smaller?
 
Dola milioni moja ni hela nyingi kwenye project ya mtu binafsi si project ya umma.
Oooh sawa.. lkn apa Tanzania Kuna project ngap za umma zinazo toa income au Kodi Kwa serikali bilion mbili na nusu.... Ukiachana na sector kubwa kama bandali ,madin,n.k
 
Oooh sawa.. lkn apa Tanzania Kuna project ngap za umma zinazo toa income au Kodi Kwa serikali bilion mbili na nusu.... Ukiachana na sector kubwa kama bandali ,madin,n.k
Wewe unaongelea tulipo, mimi naongelea tunapoweza kuwa, hayo ni mazungumzo mawili tofauti.
 
CCM ndio matokeo ya yote haya
 
Mradi huu uko maeneo gani?
 
Safi sana
 
Hongera sana Mama
 
Nimeelewa sana hii
 
That's not even a million dollars.

Hiyo hela ya madafu ndiyo inafanya zionekane nyingi. Ukiziweka kwenye dola hela ndogo sana kwa PPP project ya kariakoo.
Sahihi, Tatizo ni madafu. Nilibadilishaga 10M tu into USD . Zilikuwa dola elf 3 mia tisa. Huwezi amini nilienda bank na begi but nilirudi na USD nimeweka just kwenye pocket moja ya mfuko wa nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…