Mimi sioni cha aibu hapo, kwan waandishi wa habari nao ni watu kama watu wengine. Ingekuwa ni aibu kama wangekuwa wamelazimishwa waonje hata wale ambao bia kwao ni haramu. Lakini sura zote hapo kwenye picha, ni za kiu.
Hala wewe umeona bia tu! Na hizo T-shirt?