Picha: Hivi ndivyo sisimizi wanavyotuona

View attachment 3557663
@lomomy nadhani umewai kujiuliza sisimizi wanatuona kama majitu makubwa, huu ndo muonekano wako katika mtazamo wa sisimizi
Umenikumbusha kuna animation moja inaonesha jinsi wadudu watambaao na warukao wanavyotuona mijitu mikubwa halafu tupo slow kwenye kila kitu, kwao tunatembea kama robots
 
Umenikumbusha kuna animation moja inaonesha jinsi wadudu watambaao na warukao wanavyotuona mijitu mikubwa halafu tupo slow kwenye kila kitu, kwao tunatembea kama robots
nzi akikuangalia anakuona upo skow kama kobe, hata ukitaka kumpiga anakuona unampiga kwa slow motion ๐Ÿ˜‚ ndo maana anakimbia kiurahisi
 
Kule kenya kuna mchina kadakwa kwa kusafirisha siafu kwao, hao ni siafu. Kumbe hata sisimizi ni dili, hawa wadudu wanaweza kutumika kubuni mashine/roboti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ