Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkwe anamtoa kafara mwanaye, anabaki mjukuu na mume, anapora mtoto anabaki mgane peke yake, anateeka, anapoteza dira!View attachment 3013474
Kwenye hii dunia ukipata nafasi ya kumuhukumu binadamu mwenzako kamwe usimwone yeye peke yake kuna wengine wengi wanaomtegemea usio wajua wako nyuma ya maisha yake.
#TAKARI KABLA YA KUMDHURU MWINGINE KWA LOLOTE.
Hii inatokea kwetu ama hata kwa waarabu na wazungu kwa madhira waliyotufanyia. Mbona hayajawarudia wao mkuu na bado wanazidi kutuibia.Vipi kwenye kulipiza kisasi? Kwamba yeye kataka kuniua nikapona kiajabu ajabu, leo nikitaka kumlipizia ndiyo nikumbuke kuwa ana watu wanaomtegemea? Mimi sikuwa na watu walionitegemea wakati anataka kunidhuru?
View attachment 3013478
GT @ work!Promotion
Hata hivyo picha inaibua maswali mengi.
Huyo mpiga picha alitaimu vipi?
Ndio wamekufa, lakini mhh videge vyote shingo zimewasimama hivyo?🤔
=========
Ujumbe waweza kuwa mzuri lakini so kwa hadaa hizi za picha, na hiyo ni maoni yangu tu. Nachelea kusema ni AI Generated.
Promotion zingine bana.
Karibu kivile tena JF
Mbaya sana hiyo aiseeMkwe anamtoa kafara mwanaye, anabaki mjukuu na mume, anapora mtoto anabaki mgane peke yake, anateeka, anapoteza dira!
Very Sad!!View attachment 3013474
Kwenye hii dunia ukipata nafasi ya kumuhukumu binadamu mwenzako kamwe usimwone yeye peke yake kuna wengine wengi wanaomtegemea usio wajua wako nyuma ya maisha yake.
#TAKARI KABLA YA KUMDHURU MWINGINE KWA LOLOTE.
😅😅GT Work....
Hata mimi huwa nakereka na maudhui yaliyolazimishwa; na huu mara nyingi ndiyo huwa chanzo changu cha ugomvi wa mara kwa mara na motivesheno spikazi. 😁
Wacha nitabiri ,funzo : ukimudhuru mama Wamalizie na watoto ili wasipate tabuFunzo kubwa sana