Picha: Hizi ndio noti zetu mpya, usipoangalia vizuri unaweza kusema ni bandia

Picha: Hizi ndio noti zetu mpya, usipoangalia vizuri unaweza kusema ni bandia

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
Kadiri miaka inavyozidi kwenda na uboreshaji wa noti zetu za Tanzania unazidi kupungua. Hii note kama ni gizani unaweza kusema bandia.

IMG_20200605_140052.jpg

Ukiangalia hizi noti unaweza kusema ni bandia
IMG_20200605_135951.jpg

IMG_20200605_141253.jpg
huu mstari ndio uneniondolea was was.
Kwanzia noti za JK kufikia hizi mpya zina makasoro mengi sana.

Angalia hii yenye saini ya Balali na Mramba
IMG_20200605_140448.jpg
IMG_20200605_140342.jpg

Noti ni ya muda mrefu sana lakini bado ngumu.
 
Sijui kwanini awatengenezi zile ka plastic yaani water proof hata ukiifua bahati mbaya hausikitiki.
 
siku hizi wakitoa noti mpya hawatoi elimu kama enzi za JK? watu wengi mtaani hawana taarifa juu ya mabadiliko ya alama kwenye noti.
 
siku hizi wakitoa noti mpya hawatoi elimu kama enzi za JK? watu wengi mtaani hawana taarifa juu ya mabadiliko ya alama kwenye noti.
Nilipoiona nilijua ni bandia,kilichonitoa hofu ni mstari tu wa BOT
 
Back
Top Bottom