Kibosho1 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 2,621 Reaction score 4,293 Jun 5, 2020 #1 Kadiri miaka inavyozidi kwenda na uboreshaji wa noti zetu za Tanzania unazidi kupungua. Hii note kama ni gizani unaweza kusema bandia. Ukiangalia hizi noti unaweza kusema ni bandia huu mstari ndio uneniondolea was was. Kwanzia noti za JK kufikia hizi mpya zina makasoro mengi sana. Angalia hii yenye saini ya Balali na Mramba Noti ni ya muda mrefu sana lakini bado ngumu.
Kadiri miaka inavyozidi kwenda na uboreshaji wa noti zetu za Tanzania unazidi kupungua. Hii note kama ni gizani unaweza kusema bandia. Ukiangalia hizi noti unaweza kusema ni bandia huu mstari ndio uneniondolea was was. Kwanzia noti za JK kufikia hizi mpya zina makasoro mengi sana. Angalia hii yenye saini ya Balali na Mramba Noti ni ya muda mrefu sana lakini bado ngumu.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jun 5, 2020 #2 ππππ
Sauti ya Mamlaka JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 1,601 Reaction score 2,354 Jun 5, 2020 #3 Hizi not zilikuwa kubwa balaa lkn zenye ubora
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Jun 5, 2020 #4 Mkuu, hiyo picha ya mwanzo kabisa inaonekana kama nyama mbichi...[emoji23][emoji23]
Blackcornshman JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 6,514 Reaction score 15,701 Jun 5, 2020 #5 Sijui kwanini awatengenezi zile ka plastic yaani water proof hata ukiifua bahati mbaya hausikitiki.
mjanja wa kijiji JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 1,582 Reaction score 4,378 Jun 5, 2020 #6 siku hizi wakitoa noti mpya hawatoi elimu kama enzi za JK? watu wengi mtaani hawana taarifa juu ya mabadiliko ya alama kwenye noti.
siku hizi wakitoa noti mpya hawatoi elimu kama enzi za JK? watu wengi mtaani hawana taarifa juu ya mabadiliko ya alama kwenye noti.
Kibosho1 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 2,621 Reaction score 4,293 Jun 5, 2020 Thread starter #7 Master Mind said: Hiz not zilikuwa kubwa balaa lkn zenye ubora Click to expand... Ni kweli na ubora wake ni kama noti za Kenya kwa sasa
Master Mind said: Hiz not zilikuwa kubwa balaa lkn zenye ubora Click to expand... Ni kweli na ubora wake ni kama noti za Kenya kwa sasa
Kibosho1 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 2,621 Reaction score 4,293 Jun 5, 2020 Thread starter #8 mjanja wa kijiji said: siku hizi wakitoa noti mpya hawatoi elimu kama enzi za JK? watu wengi mtaani hawana taarifa juu ya mabadiliko ya alama kwenye noti. Click to expand... Nilipoiona nilijua ni bandia,kilichonitoa hofu ni mstari tu wa BOT
mjanja wa kijiji said: siku hizi wakitoa noti mpya hawatoi elimu kama enzi za JK? watu wengi mtaani hawana taarifa juu ya mabadiliko ya alama kwenye noti. Click to expand... Nilipoiona nilijua ni bandia,kilichonitoa hofu ni mstari tu wa BOT
Loftins JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 10,485 Reaction score 13,693 Jun 5, 2020 #9 Unashikaga moto kwa vidole?