Kama umejiridhisha patakuwa na madaktari bingwa ni sawa, nijuavyo utamu wa ngoma mpaka uingie uicheze.Waende muhimbili kufanya nini tena?
Ya kanda ya ziwa!mikoa hiyo ni ipi?
Hofu ondoa bwashee!Kama umejiridhisha patakuwa na madaktari bingwa ni sawa, nijuavyo utamu wa ngoma mpaka uingie uicheze.
hiyo mikoa yote, isipokuwa Kagera, ipo karibu na Bugando kuliko Chato. Anyways, kila la kheri.Ya kanda ya ziwa!
Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Kagera na Mara
Lakini hata Tabora na Kigoma wanakaribishwa!
Unajitahidi Sana, hongeraKwa mujibu wa wizara ya afya ni kwamba hospitali ya Rufaa ya Chato itahudumia takribani watu milioni 18.
Kwamba wagonjwa 700 watahudumiwa kila siku...
Chatu senta.
Hii ni zaidi ya Bugando!hiyo mikoa yote, isipokuwa Kagera, ipo karibu na Bugando kuliko Chato. Anyways, kila la kheri.
Huyu Msukuma kaiua Mtwara kwenye Bandari yenye kina kirefu,Gesi asalia na Korosho anaikuza Chato ambako hakuna shughuli yoyote muhimu ya kiuchumi.
Any way kila zama na kitabu chako lakini kitabu cha Mtwara na Lindi kimefunikwa kwa muda tu akitoka huyu Msukuma Mtwara itarudi kwenye kasi ya maendeleo.
Ya kanda ya ziwa!
Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Kagera na Mara
Lakini hata Tabora na Kigoma wanakaribishwa!
Wasiache kuweka chuo kikuu cha tiba piaKwa mujibu wa wizara ya afya ni kwamba hospitali ya Rufaa ya Chato itahudumia takribani watu milioni 18...
Ziko Peramiho mkoani Ruvuma na Ndanda mkoani Mtwara!Hivi kusini wana Hospitali kubwa ama ya Rufaa yoyote yaani Ruvuma, Lindi, Mtwara pamoja na maeneo ya nyanda za kusini. Maana sijawahi kusikia na kama haipo si ingekuwa vyema nao wakapatiwa
Inajengwa Mtwara. Ila huko ujenzi hauharakishwiHivi kusini wana Hospitali kubwa ama ya Rufaa yoyote yaani Ruvuma, Lindi, Mtwara pamoja na maeneo ya nyanda za kusini. Maana sijawahi kusikia na kama haipo si ingekuwa vyema nao wakapatiwa
hiyo mikoa yote, isipokuwa Kagera, ipo karibu na Bugando kuliko Chato. Anyways, kila la kheri.
Hilo ni jambo la lazima kwa hospitali kubwa!Wasiache kuweka chuo kikuu cha tiba pia
Ziko Peramiho mkoani Ruvuma na Ndanda mkoani Mtwara!
Itahudumia wananchi wangapi?Inajengwa Mtwara. Ila huko ujenzi hauharakishwi
hiyo peramiho na ndanda zote ni hospitali za mission, zina huduma nzuri ila hazina capacity ya kuhudumia hii mikoaZiko Peramiho mkoani Ruvuma na Ndanda mkoani Mtwara!
sikuwahi kujua!! , nadhani ni suala la priorities tu mfano hiyo hospitali ilikuwa haina uharaka wa kujengwa chato kuliko maeneo mengineInajengwa Mtwara. Ila huko ujenzi hauharakishwi
Nyerere anaumia sana kaburini.