Picha: Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji?

Picha: Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Hebu kila mtu aangalie picha hii hapa chini kisha atoe maoni yake bila hila wala inda. Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji??

20210605_200017.jpg


UPDATES:
Kupitia comments zenu nimegundua kuwa watu wanachanganya vituko vya mvuta bangi na uchekeshaji.
 
Tuache kuingilia industry ya wasanii wetu kwa ku refer kitu kinachoitwa MAADILI YA MIAKA 90 iliyopita
 
Baadhi wanadhani uchekeshaji unaendana na kuvaa nguo kubwa, kuongea kwa lafudhi ya jamii Fulani na mengineyo ila sikatai inaweza kuwa sawa ila unaweza ukavaa vizuri tu ukaenda kwa stage ukaonesha kipaji chako na watu wakakiona.
 
Wachekeshaji wa kibongo wanaona kuvaa malapu lapu ndiyo kuchekesha,Sinaona Stive Harvey,Cedric,Wlly smith,Martin wakifanya hupo upuuzi....Kama unajua,unajua tu..
 
Back
Top Bottom