Picha: Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji?

Sema hivo hivo mwenzio anamake pesa cha msingi mkono uende kinywani.
Kwa mtazamo wako huo wa hovyo hata wezi na wanaojiuza miili yao waendelee tu ili mradi wanamake money?? Hopeless kabisa.
 
Tuletee unaouona wewe uchekeshaji
Kaangalie wachekeshaji wa mbele huko uone. Au hata yule Kansiime wa Uganda, ushawahi muona kavua nguo jukwaani??
 
Acha jamaa atafute ugali mkuu...kama wewe hucheki wapo wanaocheka...mbona wasanii wa kike wanavaa ovyo zaid ya jamaa na husemi chochote? Au jamaa ni mpinzan wako?
 
Wachekeshaji wa kibongo wanaona kuvaa malapu lapu ndiyo kuchekesha,Sinaona Stive Harvey,Cedric,Wlly smith,Martin wakifanya hupo upuuzi....Kama unajua,unajua tu..
Nyie wamarekani wa mikocheni na mbezi mna shida sana..kila jamii na utamaduni ama sanaa yake..wewe jamii yako ya kimarekani sanaa yenu usilazimishe iwe ya kibongo
 
Mtoa mada atakuwa ana stress, kuchukia kila kitu. Hiyo picha nilishaionaga sikuwaza kabisa kwamba kuna udhalilishaji hapo. Itakuwa alishawahi kubakwa kwahiyo anakuwa stressed kwa vitu vidogo kama hivyo
 
Jamaa anajua mpaka anaumwa bongo nzima hakuna wa kumfunika.
 
Mimi huwa nawashangaa wanaopoteza muda na pesa zao kwenda kuangalia huu upuuzi. Uchekeshaji sio lazima uvae vitu vya ajabu ajabu.
Laiti watu wasingeenda wangejifunza na kufanya mabadiiko, lakini kwa sababu kuna washabiki wao..... tuwaache na mambo yao ya ngoswe
 
Weka mfano wa uchekeshaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…