MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,763
- 22,998
Ukipatikana usawa dunia haitozunguka tenausawa ni ngumu kupatikana mahali popote pale
rip job
Sawasawa mkuu,wampe ubunge kama yule aliyetangulia...mwanae tayari ametusuaHuyo binti namuona Ndugai huyo hapa C & P yaan Copy ya Ndugai kabisa
Laki 5 au Laki 7 mkuu si nasikia imeongezwa😭😭😭Hili linaniumiza sana,hili linaniuma sanaaaa
Tunataka tupate Ndugai mwingine kupitia yeyeAzikwe pamoja naye ili kuepuka maneno ya mitandaoni 🥲
naunga mkono mkuu 😁 --- hii serikali ifike muda ituombe radhi na fidia juu tuWaomboleze wanufaika,mie ngoja nilie na familia yangu mkuu....hatuijui kesho yetu
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu ndiye Binti wa Kwanza wa Mheshimiwa Jobu Ndugai ambaye amefariki Dunia hapo Siku ya Jana.
Embu soma kama ilivyo. Mimi nimeichukua kama picha ila ni Video ya Dakika saba binti Wa Marehemu Ndugai akielezea kwa hisia kali sana na uchungu sana juu ya kifo cha Baba yake na Maneno ya Mitandaoni.👉Catherine Ndugai,Mtoto wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Dodoma amezungumza na kueleza jinsi alivyokutana na Baba yake kwa mara ya mwisho kabla ya kifo chake.
Akizungumza na Ayo TV leo akiwa Mkoani Arusha amesema kuwa yeye hakuwahi kutamani kuingia kwenye siasa na wakati mwingine huwa akiona maneno yanayotolewa kwa wanasiasa hata kama hayamhusu baba yake huwa yanamuumiza.
Aidha, ameeleza kukerwa na baadhi ya watu wanaomzungumzia vibaya Baba yake kwenye Mtandao na kusema hizo ni hisia binafsi za watu na haziwezi kumuathiri kwa kuwa alikuwa anamfahamu Baba yake vizuri
#MillardAyoUPDATES
View attachment 3435343View attachment 3435344
Na akidondoka huyo kutakuwa na sherehe ya kitaifa ya kusherehekea kifo chake,wenye mamlaka wanaumiza sana watuBado samia wako
Ndiyo mkuu,kima Cha chini ni laki 5Laki 5 au Laki 7 mkuu si nasikia imeongezwa
Imeuma mkuu wewe sikia tuKupoteza Mzee kipengere, sema basi tu kila mtu aweza sema lake lakini Kwa familia ni pengo kubwa sana.
naam bila shakaUkipatikana usawa dunia haitozunguka tena
Hakika...naunga mkono mkuu 😁 --- hii serikali ifike muda ituombe radhi na fidia juu tu
Endelea kuwa na subira na kufuatilia taarifa.Huyu mzee anazkwa ln asee
Si amewaongezaNdiyo mkuu,kima Cha chini ni laki 5
Afufuke tumtandike viboko halafu afe tenaNdugu zangu Watanzania,
Huyu ndiye Binti wa Kwanza wa Mheshimiwa Jobu Ndugai ambaye amefariki Dunia hapo Siku ya Jana.
Embu soma kama ilivyo. Mimi nimeichukua kama picha ila ni Video ya Dakika saba binti Wa Marehemu Ndugai akielezea kwa hisia kali sana na uchungu sana juu ya kifo cha Baba yake na Maneno ya Mitandaoni.👉Catherine Ndugai,Mtoto wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Dodoma amezungumza na kueleza jinsi alivyokutana na Baba yake kwa mara ya mwisho kabla ya kifo chake.
Akizungumza na Ayo TV leo akiwa Mkoani Arusha amesema kuwa yeye hakuwahi kutamani kuingia kwenye siasa na wakati mwingine huwa akiona maneno yanayotolewa kwa wanasiasa hata kama hayamhusu baba yake huwa yanamuumiza.
Aidha, ameeleza kukerwa na baadhi ya watu wanaomzungumzia vibaya Baba yake kwenye Mtandao na kusema hizo ni hisia binafsi za watu na haziwezi kumuathiri kwa kuwa alikuwa anamfahamu Baba yake vizuri
#MillardAyoUPDATES
View attachment 3435343View attachment 3435344
Ndiyo baada ya kuongeza ni laki 5...unakichwa kigumu kweli aiseeSi amewaongeza
Toa ujinga wako hapa ewe mwenye roho ya kishetani.Bado samia wako
Ataumia sana na bado wawe wanawashauri wazazi wao kuwa uongozi ni kukenga mahusiano mema na unao waongoza.Ndugu zangu Watanzania,