PICHA: Huyu Jamaa Hicho Kitengo Kimemfaa, Yaani amekitendea haki

ugali wataifa anamiliki yeye ataachaje kurizika🤣🤣🤣🤣🤣🤣😕
huyo amerizika
 
Hata mtangulizi wake alikuwa hivihivi, mpaka nikajisemea iwe kama utaratibu wetu mkuu wa hifadhi ya chakula awe na sifa ya unene uliopitiliza, nyongeza ya CV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…