Picha: Huyu Ndiye Oumilkheir Mtangaziji Wa DW Ujerumani

Asante mkuu napenda sauti yake
 
Berliiin, waandamanaji katika mji wa Gaza wamemiminika majiani wakilaani maguvu yanayotumiwa na wanamgambo wa Izraiil dhidi ya Wapalastina.

Wakati huohuo Chansela Helmot Kohl atarajiwa kuhudhiria mkutano huko Baanin (Benin).
 
Namkaribisha Tanzania, ningependa angekuwa mtanzania au aje amalizie maisha yake hapa Tz!!

Penda sana huyu mama!!
 
Chief huyu mama sio mzazibar ni raia wa Comoro

Yes, ni Raia wa Comoro. Ila spelling la jina lake bado ni utata. Kwa kuwa neno Ummy ni mama. Labda dada FF aje atusaidie, hasa huyu mama yetu mkongwe katika Utangazaji jina lake linaanza vipi, je ni kama mtoa uzi alivyoliita au linaitwaje?
 
Huku waandamanaji wa kipalestina wakipaza sauti zao katika mji wa ghazza wakilaani vitendo vinavyofanywa na waizraeli katika ukingo wa mto Jordan na huo ndo mwisho wa udondozi waagazeti kutoka boooone ujerumani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…