Picha: Huyu ndo Trainer anayedaiwa ku cheat na zari

Ivan..(R.I.P)..
Alivumilia lakini alishindwa..akatema.Mzigo.

Achana kabisa na mademu wa Kiganda.
 
Point yangu haikuwa hiyo lakini.... Muktadha wangu ulikuwa kuhusu wanaume wanaoitwa handsome na hao wenye misuli
Ugomvi wao wa sasa ni mambo yao wawili wanaofahamu kwa hakika asili ya kutofautiana...
 
Hata mimi ngechit naye huyu sio kama wewe Dai
 
Nimeingiaje humu , hata sielewi
 
Sasa hapo Diamond analia nini? Hafanani na wala alingani na huyo trainer, mwanamke yeyote anayejitambua ukiondoa hawa shombo wa bongo movie na fleva atatoka na huyu trainer? Dawa ya Diamond ni Zari tu, mwanamke anayejitambua akili si hawa vinuka mkojo aliyozoea kuwaokota Bongo movie na fleva. Kamletea ujinga wa kuchepuka bila heshima naye Zari kamuonyesha kuwa yumo na bado anadai kwa kuchepuka na wanaume handsome wanaomuhaibisha Diamond. Mwacheni tu Diamond ajipige vidole gizani, alifikiri kila mwanamke ni wa kuchezea.
 
Imeiga ujinga hadi umalaya kwa boss wao feki. Unajua mtu akiwa role model wako, unaiga kila anachofanya.
Yapo kutembeza K maana wame motivatiwa na bosi wao kwamba inalipa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]boss kawaumbua jamani.

was she serious?? she meant that? I doubt, ndio maana unaonekana kivingine

hakusema kama ndio kazi yake, alimshushua mtu mmoja USA kuwa nae aitumie

zari watu wanamjua hata kabla hajaolewa na ivan aliishakuwa kwenye media. unless umemfahamu baada ya kuolewa na kaka yako
 
Sibishi aisee hao vijana mqbody builders siku hizi ndio wanaongoza kuwa mabwabwa...sishangai kabisa huyo kakaa kichoko kabisa
Hii Ishu watu wengi hawajajua ila inawamaliza vijana wengi sana. Hasa wale wanaokula supplement tabs za kujenga miili. Wale wanaomeza kila siku na kupiga Mazoezi wana matatizo ya E.D.

Vile vidonge ni vibaya Sana, na vina uraibu! Mtu akiacha mwili unamuuma na nyama nyama za mwili kuanguka. Na mashine nayo inakosa nguvu.
 
Nipishe mie, kashirikiane na boss wako kutembeza K zenu.
 
Sio anabwana sema wana mabwana,wengi hawa ni marioo kushinda gym kuvizia wadada,mwili mkubwa sauti nyororo
Trainer kavaa skin jeans

Wakaka wa hivi unaweza kukuta naye ana bwana ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…