Kama humjuiii umeleta kumfanyia betting amekuwa biko..stopthatView attachment 705513
Hapa akiwa na mke wake
Huyu ni mchezaji aliyeng'ara sana katika kipindi cha nyuma katika kusakata kabumbu hapa barani Afrika akitokea nchi mojawapo mwa miongoni mwa nchi za Afrika Magharibi. Kwa sasa kasha tundika ndaluga.
View attachment 705514
Hapa yupo na mke wake na watoto wake.
Wadau wa soka huyu ni mchezaji gani?
Ndanda kossovo kipa wa kawe rangersView attachment 705513