Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 2,536 Reaction score 7,194 Mar 17, 2025 #1 Ibada ya Misa ya kumwombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dokta John Pombe Joseph Magufuli inafanyika hii leo Machi 17, 2025 katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi Mlimani wilayani Chato mkoani Geita.
Ibada ya Misa ya kumwombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dokta John Pombe Joseph Magufuli inafanyika hii leo Machi 17, 2025 katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi Mlimani wilayani Chato mkoani Geita.