PICHA: Ifahamike hawa ndio waliolengwa na UN kwenye Women's day wengine mnaforce tu

Huyo wa katikati alidondosha pochi yake wakati anapita hapa dukani kwangu, anayemjua amwambie nimeitunza iko salama anaweza kuipitia
Unazuga TU ww! Sema nikupe namba yake! Ila uwe na hela!
Huyo wa katikati alidondosha pochi yake wakati anapita hapa dukani kwangu, anayemjua amwambie nimeitunza iko salama anaweza kuipitia
 
Mboga mboga vyuma kama hivi wavitoe wapi!? Wamejaa mangeu usoni kwasababu ya ngumi wkt wa kugombania rushwa!
Kwanza mboga wote Wanasura za kichawi na chale usoni kama za Mwanshamba unachezea kuwatongoza Wajumbe ni lazima upigwe bima ya Afya Kote(Chale) siyo za Matacle mpka Usoni ndio Pisi za Mbogamboga
 
Mboga mboga vyuma kama hivi wavitoe wapi!? Wamejaa mangeu usoni kwasababu ya ngumi wkt wa kugombania rushwa!
Usisahau huwa pia na rangi nyeusi na nyeupe katika mwili wao kwa sababu ya vipodozi
 
Mboga mboga vyuma kama hivi wavitoe wapi!? Wamejaa mangeu usoni kwasababu ya ngumi wkt wa kugombania rushwa!
Kwanza mboga wote Wanasura za kichawi na chale usoni kama za Mwanshamba unachezea kuwatongoza Wajumbe ni lazima upigwe bima ya Afya Kote(Chale) siyo za Matacon mpka Usoni ndio Pisi za Mboga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…