Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
kwa hiyo catholic ndio inaruhusu watu kufanyiana hivyo?
very shame kuwasingizia wacatholic hii kitu.
gebu.check picha hizi hapa panaitwa nyakagwe,juzi yamefukia watu check watu IMG_1022.JPGIMG_1023.JPGIMG_1024.JPGIMG_1025.JPGIMG_1026.JPGIMG_1027.JPG...Watu wetu wengi hawana kazi ndio maana kunapotokea hata kakitu kadogo tu watu kibao. Ila hawa jamaa kiboko watu wanamega menu na maiti iko pembeni hawana wasiwasi. Ingekuwa bongo hapo kila mtu anatafuta stori...:A S 100::A S 100:
Hivi huko Mexico hakuna cha mwezi mtukufu wala nini??!!
Mungu apitishe mbali hilo balaa:shocked: