Picha iliyo waliza waandishi wa habari na wote waliyo iyona

Mahmood

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2008
Posts
7,908
Reaction score
2,478

Picha ya mtoto aliyo uliwa na wanajeshi wa-Israel, Mtazamo wake na tabasamu inayo toka katika uso wa maiti ya mtoto huyu inasikitisha!

Mungu Amlaze mahala pema.

Amin.
 
Picha ya mtoto aliyo uliwa na wanajeshi wa-Israel, Mtazamo wake na tabasamu inayo toka katika uso wa maiti ya mtoto huyu inasikitisha!

Mungu Amlaze mahala pema.

Amin.

RIP Mtoto & shame on Israel... waalaniwe
 
When did they kill the kid? Kila kwenye vita dhambi kama hizi huwa zinashamiri sana. Sio askari wote wanafurahia kuua watoto kama hawa. Lakini wanatii amri na kufanya wanayofanya na matokeo yake ndiyo haya. Shame on them!
Nashangaa sisi tumeanza kupenda penda vita pia. Tunavitafuta kwa visingizio vya udini.Mmmmmh!
 
it is just sad, that is when one questions God's existence
 
...huko israel du! Utadhan hawa mayahudi hawatakufa?! MUNGU YUPO,MTAONJA HAKI YENU JEHANAM.
 
Picha ya mtoto aliyo uliwa na wanajeshi wa-Israel, Mtazamo wake na tabasamu inayo toka katika uso wa maiti ya mtoto huyu inasikitisha!

Mungu Amlaze mahala pema.

Amin.

Mkuu Picha za Waafrika wenzetu wa Darful na Sudan ya Kusini vipi hauna utuwekee nazo? ama Haujazipata?
 
Mkuu Picha za Waafrika wenzetu wa Darful na Sudan ya Kusini vipi hauna utuwekee nazo? ama Haujazipata?

Mkuu, nikizipata nitakuwekea wee poa tu.
 
They have killed this kid just few days ago.
 
kila nafsi itaonja mauti ikewemo hawa waliomwua malaika huyu!
 
Wayahudi walimsulubu yesu pia!hivi nitawezaje kuwatambua pale dia?kwa kuwaona tuu huenda nikachukua hatua hapo hapo!
 
Ni kama anasema "mimi sina nguvu, siwezi kuwarudishia acha nikapumzike kwa baba"
 
Picha ya mtoto aliyo uliwa na wanajeshi wa-Israel, Mtazamo wake na tabasamu inayo toka katika uso wa maiti ya mtoto huyu inasikitisha!

Mungu Amlaze mahala pema.

Amin.

the Kid is so happy kwani hana dhambi yoyote na dhahiri mungu yuko naye,wala usiogope kifo kwani kila mwanadamu ataonja mauti ila tu kwa njia mbalimbali...Kapumzike Malaika wa mungu hata sisi tunakuja huko katuandalie mahali pazuri tufikapo uwe mwenyeji wetu...
 
hapa ni swala la ubinadamu, na si swala la mwafrika au mwarabu ndugu yangu. ndiyo nyinyi mnaoendekeza udini na ukabila ndani ya CHADEMA mpaka Zitto kagundua mbinu zenu chafu. Huna hata utu!!!!!!!!!!!
 
Hizi picha zingine za watoto walio uliwa na wanajeshi wa Israel

Mtoto kafukiwa chini ya nyumba yao baada ya nyumba hiyo kupigwa kwa mizinga ya Israel

Mtoto huyu alipigwa risasi wakati alipokuwa akicheza nje ya nyumba yao

Kundi la watoto walio uliwa na wanajeshi wa Israel

<hr id="imageRecircHorizontalRule" align="center">

inasikitisha
 
Heartless beasts, siku yao inakuja, Mungu atawahukumu na wao kwa kuwaua watoto na watu wasio na hatia wa Kipalestina; kwani wao hawana haki ya kuishi dunia hii? Pain that will never go....God please intervene on their behalf maana America and its allies wanawapa sana kichwa hao waisrael....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…