kama tulivyoungana pamoja kulaani mauaji ya soweto tuendelee kupinga na kulaani mauaji yoyote ya watoto wasiokuwa na hatia mahali popote duniani.
inasikitisha sana.
Yaelekea hawa waisrael wana strategy ya kukifuta kabisa kizazi cha wapalestina. Sielewi kwa nini wanauwa watoto kiasi hiki. Kuna huyo askari kwenye moja ya hizo picha ameshika bunduki anamlenga mtoto hivi kweli ubinadamu wa aina gani huu?? Imeniuma sana malaika wa mungu wanauwawa kama panzi?? Duh! mbaya sana!
Its too sad, RIP. Let God help on this.
Ni kweli Sbilingi,hapa ni ubinadam na sio itikadi na udini.Tatizo la watu wengine uwezo wa kufikiria itikadi sio kila kitu ,jamani utu na ubinadam na ustaarabu muhimu sana.
Kwa mtu yeyote ambaye ni mzazi na ana watoto wake nyumbani...hiz sio picha za kuangalia. Yaani unapovuta taswira za watoto hawa halafu ukawakumbuka wanao...inaumiza sana. Sijui kwa nini hii dunia bado inaendelea na vita na kuwacha watoto wasio na hatia kama hawa kupoteza maisha yao...Inaumiza sana.
RIP to all innocent angels!
Jesus christ inasikitisha sana
same here......huyu mtoto alikosa nini mpaka wakaamua kumuua....kweli inahuzunisha sana
So sad. But lets not forget our own backyrds at "mwananyamala hospitals, and other places just for lack of proper medical care people are dying everyday'
Very true, the world cannot be fear! but also it is not fair.the world is nt fear