Picha iliyo waliza waandishi wa habari na wote waliyo iyona

Kwa kweli inasikitisha na inauma sana watu wenyewe kwa wenyewe tuogopane haipendezi hata kidogo ila puazitu zote zimeinamia chini kwa hiyo wtu wute tutauonja umauti siku yetu ikifika na hukumu ipo hapa hapa duniani mungu ailaze roho ya marehemu amina
 
Naamini haki ya watoto hawa italipwa kwani hawana makosa yoyote. Mwenyezi waongezee nguvu, wazazi waliopoteza watoto wao kwenye mazingira magumu kama haya duniani kote Amin.

Amin.
 
Cant resist the tears,..av never seen this..what kem into my mind was if hawa wanaoua have families at home.,r they humans o virobot?:redfaces:........ila njia ni moja,.Mungu atusaidie.

Amin,

They are killing the kids like animals, It is very sad.
 
Kwa kweli inasikitisha na inauma sana watu wenyewe kwa wenyewe tuogopane haipendezi hata kidogo ila puazitu zote zimeinamia chini kwa hiyo wtu wute tutauonja umauti siku yetu ikifika na hukumu ipo hapa hapa duniani mungu ailaze roho ya marehemu amina

Amina
 
same here......huyu mtoto alikosa nini mpaka wakaamua kumuua....kweli inahuzunisha sana
Hao wanajeshi walimtarget huyo mtoto ama alikuwa caught up kwenye fighting -collateral damage-? Vile vile tusisahau kuwa Hamas and the likes wanapenda kutumia watoto na wanawake kama human shield then afterwards wanawaparade mbele ya Media ili wapate sympathy.

Mungu amlaze mahali pema peponi.
 
Dawa ni kutowachokoza, ukijaribu vita havina macho vina uwa mpaka kuku-be care! Unajuwa majamaa yna ubavu kuliko wewe unalichokoza unategemea nini. Ni kipigo mpaka mpaka utubu!
 
Dawa ni kutowachokoza, ukijaribu vita havina macho vina uwa mpaka kuku-be care! Unajuwa majamaa yna ubavu kuliko wewe unalichokoza unategemea nini. Ni kipigo mpaka mpaka utubu!

Palestine imetawaliwa na waisrael kwa mabavu, na watoto wa kipalestina wanauliwa kama kuku.
 
Dawa ni kutowachokoza, ukijaribu vita havina macho vina uwa mpaka kuku-be care! Unajuwa majamaa yna ubavu kuliko wewe unalichokoza unategemea nini. Ni kipigo mpaka mpaka utubu!

...Jamaa ndo wachokozi around the world!
 
Waarabu ni Wahuni tu! Wanatumia watoto kama "human shield" ! penye mapambano ambayo ni non-conventional huwezi ku-exclude mtu wa kumpiga risasi!
 
Mungu wasaidie watu hawa waliyo tawaliwa inchi yao na kuuliwa watoto wao na kuteswa, Amin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…