Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa katika mazungumzo na Mama Maria Nyerere Nyumbani kwake Butiama wakati wa kilele cha kumbukumbu ya miaka kumi tangu kufariki kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. ( Picha: Freddy Maro). Picha zaidi na habari, tembelea: mjengwa
Upuuzi mtupu, badala ya kwenda naye kule Nyerere foundation wakafanye kazi ya kuendeleza mambo na kuanzisha Library ya Taifa la kesho wanamkaribisha kuangalia TV, hata glasi ya maji ya kunywa hakuna hapo! Lo!