Picha iliyotembea sana kwenye media siku ya leo

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
5,540
Reaction score
7,455
Naona jamaa kafikisha ujumbe wa kweli kabisa, hata mimi naamini Samatta yuko vizuri kuzidi Depay
 

Attachments

  • 1447609146139.jpg
    151.4 KB · Views: 5,443
Yaani aibu sana. English ya wapi hii? "Good than"? Kweli itabidi kuongeza division six.
 
Angeandika kwa ufasaha ujumbe ungefika vizuri zaidi.
 
Cha msingi hapo ujumbe umefika ndugu. Amepati ama kukosea huo sio mtihani. Van Gaal mwenyewe c mzuri kwny kingereza tambueni hilo.
 
Yaani aibu sana. English ya wapi hii? "Good than"? Kweli itabidi kuongeza division six.

Kajitahidi. Wewe ulivyochanganya kiswahili na kiingereza ndio umejiona unajua sana? Ujumbe si umefika? Acha kukosoa ka kitu unachokiona mbele yako.
 
We unayeona kakosea ulikuwa wapi kumsahihisha mpaka akakosea huo ujumbe ukifika kwa hao unaosema waingereza watamuelewa tu
 
anafanana na kamanda aliyetoweka yericko nyerere.
 
Van Gaal mwenyewe kiingereza mtihani kwake pia,
 
Van Gaal mwenyewe haongei kiingereza kwaio ataelewa tu
 
ccm imewamaliza vijana,kwanini nchi yako ni maskini?sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…