Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi picha si za kununua hovyo hovyo mpaka ujue maana yake.. Kuna MOJA iliniletea majanga makubwa
Kuna kanisa Moja uganda waliletewa na wamisionari kutoka Korea Kusini picha wakaiweka Kanisani. Kumbe wameweka dude la hatari kuanzia hapo wachungaji walikuwa wanakufa hatari haswa wale wanaokuwaga na ratiba za maombi usiku..Hizi picha si za kununua hovyo hovyo mpaka ujue maana yake.. Kuna MOJA iliniletea majanga makubwa
Imani potofu tu hizo, picha haiwezi kufanya watu wafe.Kuna kanisa Moja uganda waliletewa na wamisionari kutoka Korea Kusini picha wakaiweka Kanisani. Kumbe wameweka dude la hatari kuanzia hapo wachungaji walikuwa wanakufa hatari haswa wale wanaokuwaga na ratiba za maombi usiku..
Mpaka alipoenda jamaa mmoja ndo akashtukia mchakato nae aliponea chup chup kuchomelewa roho.
Kuna haja sana kuelewewa nini kipo nyuma ya picha husika kiroho.
Imani potofu tu za kishirikina hizo.Hizi picha si za kununua hovyo hovyo mpaka ujue maana yake.. Kuna MOJA iliniletea majanga makubwa
Beautiful art
Wakorea wangepeleka Picha nyingi ilo kuwaua mahasimu wao wakubwa Korea Kaskazini hizi imani za hovyo hovyo sijui mnazipata wapi..Kuna kanisa Moja uganda waliletewa na wamisionari kutoka Korea Kusini picha wakaiweka Kanisani. Kumbe wameweka dude la hatari kuanzia hapo wachungaji walikuwa wanakufa hatari haswa wale wanaokuwaga na ratiba za maombi usiku..
Mpaka alipoenda jamaa mmoja ndo akashtukia mchakato nae aliponea chup chup kuchomelewa roho.
Kuna haja sana kuelewewa nini kipo nyuma ya picha husika kiroho.
🤣🤣🤣Shukrani ndugu,mimi sio muongeaji sana na karibuWakorea wangepeleka Picha nyingi ilo kuwaua mahasimu wao wakubwa Korea Kaskazini hizi imani za hovyo hovyo sijui mnazipata wapi..
Watu wapo busy kutengeza mabomu na vifaru si wangekaa tu sehemu wachore picha ziwe siraha sema hapa ni zile roho za kusagiana kunguni tu ili jamaa asiuze picha yake tu roho mbaya za watu weusi hizo..
Unless inatoa sumuImani potofu tu hizo, picha haiwezi kufanya watu wafe.