Picha: Jenerali Kayumba Nyamwasa alipokuwa na Familia yake

Picha: Jenerali Kayumba Nyamwasa alipokuwa na Familia yake

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Siku zinakimbia mno ila maisha yanaendelea.

Pichani Jenerali Kayumba alipokuwa hai na Mkewe Rosete pamoja na Kijana wao wa Kiume.

Luteni Jenerali Kayumba yupo hai akiishi Afrika Kusini baada ya kukosana na Kagame.

Amenusurika majaribio kadhaa ya kuuliwa ikiwemo tukio la kupigwa risasi ya tumboni 2010.

FB_IMG_16197747822710924.jpg
 
jamaa amefariki mstari wa juu

akafufuka mstari wa chini hahahhaha
 
Kagame akija kumpata huyu atafanya sherehe!!!
 
Back
Top Bottom