Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wapi umeambiwa kafa?Nyamwasa amefariki lini?
Haya ndio Matatizo ya kukimbilia kwa mbele.Wapi umeambiwa kafa?
Ameenda zake South Afrika.
Soma vizuri maelezo ya mleta mada, "hapa Kayumba alipokuwa hai'Wapi umeambiwa kafa?
Ameenda zake South Afrika.
jamaa amefariki mstari wa juu
akafufuka mstari wa chini hahahhaha
Kwani alipopiga picha alikuwa amekufa ?Soma vizuri maelezo ya mleta mada, "hapa Kayumba alipokuwa hai'