Picha: Jinsi magaidi ya HAMAS yanajisalimisha yakiwa uchi huku yamenyanyua bunduki

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ndio imekua sharti sasa, kama hautaki kuuawa wakati unajisalimisha, lazima uvue nguo kisha unyanyue bunduki yako.....

WhatsApp-Image-2023-12-09-at-19.43.031-1024x640.jpeg

An apparent Hamas member with his hands up hands over an assault rifle after surrendering to troops in northern Gaza's Jabaliya, on December 7, 2023. (Social media: used in accordance with Clause 27a of the Copyright Law)
 
Hatari!
Hawa si walidai wanasubiri IDF ground troops iingie Gaza wakione?.Naona magaidi wanaona moto wa wazayuni!
 
Ndiyo maana uwa nakuita Mr Uharo😂
The individual in the image is widely recognized in Beit Lahia. Identified as Munir Qeshta, residents in the town affirm that he is a civilian with no affiliations to any faction.

The footage below is weird: how does the IOF strip them while permitting them to carry weapons?
😂😂😂

Mtu aliye kwenye picha anatambulika sana huko Beit Lahia. Akitambulika kama Munir Qeshta, wakaazi katika mji huo wanathibitisha kuwa yeye ni raia asiye na uhusiano na kikundi chochote.

Picha hapa chini ni ya kushangaza: Je! IOF huwavuaje huku ikiwaruhusu kubeba silaha?
 
Attachments

  • IMG_7665.jpeg
    IMG_7665.jpeg
    60.2 KB · Views: 3
Hatari!
Hawa si walidai wanasubiri IDF ground troops iingie Gaza wakione?.Naona magaidi wanaona moto wa wazayuni!
Hahahha mapunguani wawili wamekutana😂
 
Attachments

  • IMG_7439.jpeg
    IMG_7439.jpeg
    28.2 KB · Views: 4
Magaidi wa Hamas wafuasi wa allah wanatia huruma sana.
 
wewe kweli ni std 7 kwani hata kufikiri nje ya boksi umeshindwa, rudi shule ukajifunze.

Imekuwaje mpaka leo hii wameshindwa kuwapata mateka wao na wanaendelea kufanya negotiations na hamas wakati wao wanamiminiwa fedha na silaha za kutosha? Wanaishia kuua na kutesa raia wasiokuwa na hatia.
 
Ndio imekua..
On December 9, the Israeli Defense Forces (IDF) acknowledged that four of its soldiers were killed during clashes with the Hamas Movement and other Palestinian armed factions in the Gaza Strip.

The soldiers were identified by the IDF as Master Sergeant (reserve) Liav Atiya from the 55th Brigade’s 6623rd Battalion; Master Sergeant (reserve) Omri Ben Shachar from the 55th Brigade’s 6623rd Battalion; Staff Sergeant Jonathan Dean Jr Haim from the Combat Engineering Corps’ 603rd Battalion and Sergeant Maor Cohen Eisenkot from the Golani Brigade’s 12th Battalion.

Cohen is the nephew of former IDF chief of staff and current war cabinet observer minister Gadi Eisenkot, who also lost his son several days ago.

The death of the four soldiers brought the toll of Israeli troops killed since the beginning of ground operations in Gaza to 97.

====
Yawezekana Kuna habari huzipati
 
Hehehe yaani ulitegemea Israel waende kupambana na magaidi ya dini yenu na wasife hata mmoja, kupambana na mazombi yaliyoaminishwa kupata mabikira inabidi uwe chizi.
 
Wewe zwazwa, wanashikishwa bunduki zao kisha wanafungwa kama mifugo kwenda kulishwa nyama ya nguruwe

screenshot_20231208-201559-png.2837136
Hizi picha zinatia simanzi,zinatia huruma.,na hazina ubinadamu hata kidogo.,nashindwa kujua kama kweli Hamas hawakuyajua madhara makubwa haya hambayo yangewapata baada ya tukio la October 7
 
Ushenzi unafanywa na Israel lawama wanapewa Hamaa. Hii ndiyo US na Israel wanajidanganya wakizidi kuuwa raia watawageuka Hamas kumbe ndiyo wanazidi kujenga chuki na Palestina na Hamas wanaonekana mashujaa wao.
 
We bwege usiwe unatuletea propoganda za Israel hapa kwanza jana wamepokea kipigo askari 50 wamekufa mpa Netanyahu kamua kumfukuza kazi waziri wa majeshi 😄

Afu uvue mtu nguo umuwachie bunduki hio kama si ujinga wanachekwa dunia nzima, kushika raia. Vipi awe hana nguo umemvua umuwachie silaha kama sio ushoga 😄 Wacha wa kudanganye wewe sababu huna akili, vipi adui avue ngue umuwachie bunduki eti kusurender 😄
SAWA KIKUBWA MPAKA SASA "HAMASI WAMESHINDA VITA, WAPIGA MAYAUDI MPAKA YANAKIMBIA HUKU NA KULE"
HATA KWENDA SHMMBANI WANAOGOPA WAMEOMBA MSAADA TOKA KENYA.
VIVA HAMAS VIVA
NI MUDA SASA WA KUITANGAZIA MCHI YENU YA PALESTINA
 
Israel ataondoka tu watarudi Ukraine ndio asili zao, afu wajukuu wa Yakobo sio hao wajukuu wa Yakobo ni Wayahudi asili tunaishi nao toka zamani hatuna matatizo wako Yemen, Iran, Iraq, Morocco, Egypt na nchi nyingi tu za kislam na wanapinga ujinga wanao jidai wajukuu wa Yakobo kina Netanyahu

Netanyahu ni mjukuu wa Cain kumbuka wako Majews walikuwepo kabla ya Kizazi cha Yakobo
 
wewe kweli ni std 7 kwani hata kufikiri nje ya boksi umeshindwa, rudi shule ukajifunze.

Imekuwaje mpaka leo hii wameshindwa kuwapata mateka wao na wanaendelea kufanya negotiations na hamas wakati wao wanamiminiwa fedha na silaha za kutosha? Wanaishia kuua na kutesa raia wasiokuwa na hatia.
Wakati Hamas walipo ivamia Israel hawakuuwa raia wasio na hatia?
mpaka mtanzania mwenzetu amekufa kwa sababu ya maamuzi ya kijinga ya Hamas
Aya endelea kuwaza nje ya box na ndugu hamas.
 
We bwege usiwe unatuletea propoganda za Israel hapa kwanza jana wamepokea kipigo askari 50 wamekufa mpa Netanyahu kamua kumfukuza kazi waziri wa majeshi 😄

Afu uvue mtu nguo umuwachie bunduki hio kama si ujinga wanachekwa dunia nzima, kushika raia. Vipi awe hana nguo umemvua umuwachie silaha kama sio ushoga 😄 Wacha wa kudanganye wewe sababu huna akili, vipi adui avue ngue umuwachie bunduki eti kusurender 😄

View: https://youtu.be/szw3RbbHVGI?si=a6aDQ4P0kVrLz9PE

Haha wanalazimisha raia wa Gaza washike bunduki eti wameshika wanamgambo wa Hamasi 😄 Afu hawajui hata ku act wanawambia shikeni bunduki hi inueni mikono juu, adui yako nguo umuambie avue umuwachie silaha?
Si bora wange acting bunduki ziko pembeni yao sio kabeba bunduki, alivua vipi nguo na bunduki anayo kabeba 😄

View: https://youtu.be/qd1rR_UNSFg?si=sY7h_HUEz8ACCJqa

Ndiyo maana uwa nakuita Mr Uharo😂
The individual in the image is widely recognized in Beit Lahia. Identified as Munir Qeshta, residents in the town affirm that he is a civilian with no affiliations to any faction.

The footage below is weird: how does the IOF strip them while permitting them to carry weapons?
😂😂😂

Mtu aliye kwenye picha anatambulika sana huko Beit Lahia. Akitambulika kama Munir Qeshta, wakaazi katika mji huo wanathibitisha kuwa yeye ni raia asiye na uhusiano na kikundi chochote.

Picha hapa chini ni ya kushangaza: Je! IOF huwavuaje huku ikiwaruhusu kubeba silaha?
Silaha alipata wapi kama ni raia! Asilimia kubwa ya raia wa Gaza ni askari wa Hamasi, hata juzi tu imejulikana madereva wa ambulensi na mashirika ya misaada ni askari wa Hamas. Huyo ni askari anajisalimisha, wewe ukijua yule mkurugenzi wa al shifa na militant! ,Tayari uchunguzi umeanza kwa hawa marepoters hasa wa aljazira utaniambia
 
We fatilia Israel ndio anatumia redcross mpaa yule mwanamke wa redcross wakati wanabadilishana wafungwa kumbe ni mtu wa mossad afu wanajidai redcross 😄

Kawaida we ukiona vita kati ya Tanzania na Kenya ukiwa Mtanzania utashangilia Tanzania sio lazima uwe askari, we kweli aliye kuambia elimu yako ni darasa la saba alikukuza tu, we hata shule ulikimbia ulishia darasa la tatu au la nne.

Eti silaha kapata wapi kwani Jeshi la Israel hawawezi kumpa silaha ilio tupu abebe, afu kuna mateka wa jeshi uliona wapi akawachiwa silaha isipokuwa jeshi Israel tu peke yake ndio lina akili hio, na wajinga kama wewe mnamini 😄

Mateka awe uchi abaki na silaha? hi hata Punda angecheka
 
Israel ataondoka tu watarudi Ukraine ndio asili zao, afu wajukuu wa Yakobo sio hao wajukuu wa Yakobo ni Wayahudi asili tunaishi nao toka zamani hatuna matatizo wako Yemen, Iran, Iraq, Morocco, Egypt na nchi nyingi tu za kislam na wanapinga ujinga wanao jidai wajukuu wa Yakobo kina Netanyahu

Netanyahu ni mjukuu wa Cain kumbuka wako Majews walikuwepo kabla ya Kizazi cha Yakobo
Unaishi nao wapi??
 
Back
Top Bottom