picha: Jinsi polisi wa kiafrika wanavyofanya upelelezi

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Yaani mtu anakula kibano heavy lakini wanakuambia kwamba ana cooperate vizuri tu hadi anakiri kosa

UKISIKIA MANYANI MEUSI NDIYO SISI SASA, SHIT HOLE COUNTRIES

afrika.jpg
 
Dunia nzima upelelezi na torture ni Pete na kidole mzee ila kwa kesi kubwakubwa zinazo hatarisha usalama wa nchi maana gaidi huwezi kumuhoji kama unamuhoji mtoto wako nyumban na akakueleza kila kitu muda mwngne wako tayar hata kufa lakin siyo kutoa taarifa yoyote.

USA wanazo box zilizotengenezewa wavu na nondo ambazo ukiingia huwezi kusimama wala kukunjua miguu ukiwekwa hapo masaa 24 alaf upo kwenye dark room.

Yenye kelele maalum inyoumiza maskio ambayo hata uzibe maskio utaiskia tu alaf adhabu zinaongezeka kutokana na ugumu wako sasa inafika hatua unafunguka mwnyewe ukiwa hoi.

Nch zilizo endelea police wanatembea na taser kabisa wakat wa ukamataji ukizingua unaanza kuchezea shoti mapema na wanazo kisheria kabisa
.
maxresdefault.jpg
 
.View attachment 1957030
Mkuu Umenikumbusha mwaka jana, Police wa Kizungu huko USA walipomuu Mmarekani mweusi Floyd,kwa kumbana koo lake na mguu, pamoja na jamaa kusema kuwa hapumui vizuri,jamaa waliendelee kumkandamiza na goti la mguu.Kwa kweli police ni watu Wabaya sana.
 
Back
Top Bottom