picha: Jinsi polisi wa kiafrika wanavyofanya upelelezi

Dunia nzima upelelezi na torture ni Pete na kidole mzee ila kwa kesi kubwakubwa zinazo hatarisha usalama wa nchi maana gaidi huwezi kumuhoji kama unamuhoji mtoto wako nyumban na akakueleza kila kitu muda mwngne wako tayar hata kufa lakin siyo kutoa taarifa yoyote.

USA wanazo box zilizotengenezewa wavu na nondo ambazo ukiingia huwezi kusimama wala kukunjua miguu ukiwekwa hapo masaa 24 alaf upo kwenye dark room.

Yenye kelele maalum inyoumiza maskio ambayo hata uzibe maskio utaiskia tu alaf adhabu zinaongezeka kutokana na ugumu wako sasa inafika hatua unafunguka mwnyewe ukiwa hoi.

Nch zilizo endelea police wanatembea na taser kabisa wakat wa ukamataji ukizingua unaanza kuchezea shoti mapema na wanazo kisheria kabisa
.
 
Mkuu Umenikumbusha mwaka jana, Police wa Kizungu huko USA walipomuu Mmarekani mweusi Floyd,kwa kumbana koo lake na mguu, pamoja na jamaa kusema kuwa hapumui vizuri,jamaa waliendelee kumkandamiza na goti la mguu.Kwa kweli police ni watu Wabaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…