Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Yallaaah
Nigeria ilikuwa movieHuyu tajiri wa Nigeria alizikwa na gali lake, just compare yeye na Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba (alias Papa Wemba), nani zaidi. Kwa Allah, Mungu, Nzambe wote ni sawa.
Sasa hapo inategemea wewe una imani gani..Jamani watu wa imani mnasemaje kuhusu hii? je ni halali au haramu kujengea kaburi? naombeni majibu plz
Hawez kuoza na hukumu yake itakuwa tofaut ataonewa hurumaView attachment 344729
Picha hii inasemekana ndilo kaburi atakapozikwa mwanamziki Maarufu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kwa jina la Papa Wemba.
Huu ni zaidi ya ufahari, lakini mimi naona hauna maana..
Kwani kuna aliyesema anaona!?Mbwembwe tu mtu kashakufa haina maana kwa maana haoni anavyozikwa
Nimependa na nimekuwa inspired na andiko lako.Mimi wala sioni tatizo....hata kama Wataamua kutumia dhahabu au almasi....mwisho wa siku "Mwenda zake" alikuwa na wafuasi...na wafuasi wanahitaji kubaki na alama "land mark" ya mpendwa wao...haijalishi wanaipa nakshi kiasi gani mwisho wa siku thamani ya tulivyonavyo tumeamua na kujipangia sisi wenyewe binaadamu...
Na wengi wetu tunaamini kuwa ipo siku moja kuu ya hukumu.
Ni sawa tu na tofauti ya maisha tunavyoishi....tupo wale tunaoendesha Gari la milioni mia mbili na mwingine hata Baiskeli anaisikia tu....na wote tuna share oxygen hiyo hiyo.....na sio Mwenyezi Mungu aliyethamanisha hayo bali ni sisi wenyewe binaadamu.
Walisema Wahenga Dunia uwanja wa fujo, kila mwenye ngoma yake acheze ipasuke.
Karibu ndugu....Nim
Nimependa na nimekuwa inspired na andiko lako.
Mimi wala sioni tatizo....hata kama wataamua kutumia dhahabu au almasi...."Mwenda zake" alikuwa na wafuasi...na wafuasi wanahitaji kubaki na alama "land mark" ya mpendwa wao...haijalishi wanaipa nakshi kiasi gani mwisho wa siku thamani ya tulivyonavyo tumeamua na kujipangia sisi wenyewe binaadamu...
Na wengi wetu tunaamini kuwa ipo siku moja kuu ya hukumu.
Ni sawa tu na tofauti ya maisha tunavyoishi....tupo wale tunaoendesha Gari la milioni mia mbili na mwingine hata Baiskeli anaisikia tu....na wote tuna share oxygen hiyo hiyo.....na sio Mwenyezi Mungu aliyethamanisha hayo bali ni sisi wenyewe binaadamu.
Walisema Wahenga Dunia uwanja wa fujo, kila mwenye ngoma yake acheze mpaka ipasuke.
Asilimia kubwa mataifa yaliyotawaliwa na Wafaransa ni watu wa hanasa sana.wa Congo msiba kwao ni sherehe...nimefatilia misiba ya wanamuziki wengi Congo (You Tube) ni full mbwembwe...watu wana dansi mwanzo mwisho...sijui president sijui nini...nadhani ni tamaduni zao...na vile vile wanathamini sana mchango wa mziki kwa nchi yao (kuliko madini yanayowaletea vita)
Iyo ilikuwa ni movie ya kinigeria bossHuyu tajiri wa Nigeria alizikwa na gali lake, just compare yeye na Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba (alias Papa Wemba), nani zaidi. Kwa Allah, Mungu, Nzambe wote ni sawa.
View attachment 344894
View attachment 344895