Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo walipokuwa na common enemy Hitler, baada ya kumuondoa wakaanza kutifuana! BTW umesahau huyo mwenye mikono nyuma si US president Roosevelt! Au nani huyo? mkalimani?View attachment 2152549
Wakati huo kuvuta cigar ilikua ni kitendo cha kawaida hasa kwa viongozi. Churchill anatoa cigar kwenye kifuko cha ngozi.
Lugha ya picha inaonyesha wote ni wenye furaha na hakuna wasiwasi.
Uko sahihi kabisa, mabeberu wakishapata wanachokihitaji waliowasaidia wana waona ni wajinga.Hapo walipokuwa na common enemy Hitler, baada ya kumuondoa wakaanza kutifuana! BTW umesahau American president Roosevelt huyo mwenye mikono nyuma!
Siyo mwamba bali ni muuaji na jambazi kubwa kuwahi kuishi duniani.Mwamba Stalin.
Putin ameshageuka Stalin wa karne ya 21.Siyo mwamba bali ni muuaji na jambazi kubwa kuwahi kuishi duniani.
Tehran conferenceHapo bila shaka ilikuwa ni Tehran Iran mwaka 1943 walipokutana kuzungumzia mwenendo wa vita.