Picha: Josef Stalin alipokutana na Winston Churchill miaka ya 40

Huu mkutano ulifanyika kipindi cha vita ya pili ya dunia?
 
Kuna hii series ya Peaky blinder !! Wameonesha maisha ya miaka hii ya kina churchill !! Aseee washkaji wavuta sigara kupindukia
 
View attachment 2152549

Wakati huo kuvuta cigar ilikua ni kitendo cha kawaida hasa kwa viongozi. Churchill anatoa cigar kwenye kifuko cha ngozi.

Lugha ya picha inaonyesha wote ni wenye furaha na hakuna wasiwasi.
Hapo walipokuwa na common enemy Hitler, baada ya kumuondoa wakaanza kutifuana! BTW umesahau huyo mwenye mikono nyuma si US president Roosevelt! Au nani huyo? mkalimani?
 
.... kipindi hicho Uingereza ikiwa dola lenye nguvu! Kipindi hicho binti Mfalme Eliza akiwa anatumiana barua za siri za mapenzi na Phillip who later became Prince by virtue of marriage. Dah; binadamu hutoka mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…