Uchaguzi 2020 Picha : Joseph Haule(Profesa J) akiendelea na kampeni kata ya Ruaha

Uchaguzi 2020 Picha : Joseph Haule(Profesa J) akiendelea na kampeni kata ya Ruaha

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hapa ni kwenye kijiji cha Kifinga Kata ya Ruaha, akiwakilisha chama chake mbele ya Wananchi.

Subpost 6 - LEO Kijiji cha KIFINGA kata ya Ruaha KIMEITIKA, Ni hapa kwa Hapa kam ( 361 X 640 ).jpg
Subpost 4 - LEO Kijiji cha KIFINGA kata ya Ruaha KIMEITIKA, Ni hapa kwa Hapa kam ( 361 X 640 ).jpg
Subpost 2 - LEO Kijiji cha KIFINGA kata ya Ruaha KIMEITIKA, Ni hapa kwa Hapa kam ( 360 X 640 ).jpg
Subpost 5 - LEO Kijiji cha KIFINGA kata ya Ruaha KIMEITIKA, Ni hapa kwa Hapa kam ( 360 X 640 ).jpg
Subpost 3 - LEO Kijiji cha KIFINGA kata ya Ruaha KIMEITIKA, Ni hapa kwa Hapa kam ( 360 X 640 ).jpg
Subpost 1 - LEO Kijiji cha KIFINGA kata ya Ruaha KIMEITIKA, Ni hapa kwa Hapa kam ( 360 X 640 ).jpg
 
Kama humpendi sugu bonyeza nyota atakuwa wa kwako
Safi sana
 
Nimependa afya zao inaonekana chakula kwao sio tatizo kama baadhi ya mikoa ama wilaya fulanifulani.
 
One of the best MP, namkubali sana huyu jamaa!

Ni lazima atashinda, kushinda kwake ni lazima sio hiari
 
Back
Top Bottom