Uchaguzi 2020 Picha : Joseph Haule(Profesa J) akiendelea na kampeni kata ya Ruaha

Kama humpendi sugu bonyeza nyota atakuwa wa kwako
Safi sana
 
Nimependa afya zao inaonekana chakula kwao sio tatizo kama baadhi ya mikoa ama wilaya fulanifulani.
 
One of the best MP, namkubali sana huyu jamaa!

Ni lazima atashinda, kushinda kwake ni lazima sio hiari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…